Wadada wapi wanapata hii huduma??????

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
Wanaume/mwanaume awe kapera au ameoa akijisikia kutoka nje ya nyumba kupata huduma kama ya mkewe au gf huwa anaenda tu na kununua kirahisi tu tena anachagua anayemhitaji (mweupe/mweusi/mrefu/mfupi/mnene/mwembamba etc).
Je! Kwa wadada/mdada atakayejisikia kupata huduma kama ya mumewe/bf huwa wanaenda wapi au kwa anayehitaji anaweza kupata wapi? Hii ni hasa mijini.
Nawasilisha
Kwa DSM najua wapo wadada wanaojiuza maeneo ya Mjini kati, Masaki, Kinondoni etc
 
ni kazi ngumu sana kwao lakini mi shuga mammy si ndo inanunua yeyeote anyemtaka
 
Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
 
Kuweka wazi zaidi:

Ni wapi mwanamke aliyepo mjini (eg Dar es Salaam) anaweza kuondoka (kwa usafiri wa aina yoyote ile) kwake na kuelekea sehemu kuchagua/kuchukua mwanaume bila appointment?

Kwa lugha nyingine:
Ni wapi mjini (km DSM) kuna wanaume wamejiandaa kuja kuchukuliwa na wanawake?

Je!!!!!!
Kama hakuna; Hatuoni kuwa kunahitajika kuwepo na maeneo hayo ili kuwasaidia wenye kuhitaji?

Nawasilisha
 
wasiende mbali kwa mdada atakayekuwa na shida ani PM ntakuwa kwa ajili yao and i will satsfy them
 
Hacha urongo usije fanya wame zetu watuzuie kwenda Gym buree.

Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
 
Nilisikia Uholanzi maduka ya ngono ni popular. What I don't know ni kama na wanaume wanajiuza. Ngoja nifanye research.
 
Kuweka wazi zaidi:

Ni wapi mwanamke aliyepo mjini (eg Dar es Salaam) anaweza kuondoka (kwa usafiri wa aina yoyote ile) kwake na kuelekea sehemu kuchagua/kuchukua mwanaume bila appointment?

Kwa lugha nyingine:
Ni wapi mjini (km DSM) kuna wanaume wamejiandaa kuja kuchukuliwa na wanawake?

Je!!!!!!
Kama hakuna; Hatuoni kuwa kunahitajika kuwepo na maeneo hayo ili kuwasaidia wenye kuhitaji?

Nawasilisha
Unataka kununua au kununuliwa??
 
Nilisikia Uholanzi maduka ya ngono ni popular. What I don't know ni kama na wanaume wanajiuza. Ngoja nifanye research.
Miaka kama 5 iliyopita nilitembelea hayo maduka hapo Uholanzi katika miji tofauti tofauti lakini sikuona wanaume wakijiuza mzee, mambo yanabadilika labda ufanye utafiti nini kinaendelea siku hizi mkuu.
 
Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!

hahahha napenda unavyochangia Bishanga,unaniachaga hoi
 
Kwa mwanamke kwenda kununua mwanaume huwa si kazi rahisi na ndio maana utakuta kesi nyingi wanawake wanatoka na walewale wanaowazunguka either makazini, majumbani(walinzi, Houseboys) ndio wao wanaweza kuwarubuni. ndio maana wanaume wanasemaga mwanamke akiamua kufanya ubaya anafanya wa kuumiza zaidi ya mwanaume.All in all kununua ya nini wakati unaweza kuwa na wako peke yako?
 
kuhusu hii asilimia kubwa huwaga wanakuwa na watu wao wa pemben. Yan ninamaana awe ameolewa au hajaolewa weng wao wanakuwa na m2 anaewatekelezea huduma yao na hvyo unakuta wanawatumia hao kuweza uwatekelezea huduma hyo na ndo hvyo inavyokuwaga
 
mkuu niliwahi kuweka Tangazo ya kuwa nanunua mademu bao moja R 50/= mbona nilibadili namba mwenyewe,maana nilikuwa nawagonga kinoma.cmu ilikuwa inaita mpaka basi
 
Kwa nini wadada wapate taabu hivyo wakati dildo na vibrator zimejaa? Au unadhani nao ni kama nyie midume msiopenda za kuuzwa kwenye kikapu?
 
Back
Top Bottom