Ile pesa haukuniuma sana bali niliumia kumpoteza yule binti na zaidi naumia kuona kuwa sisi wanaume tuna mtihani mkubwa katika kutimiza hili lengo.
Kwa waliofanikiwa kila la kheri
Nimekuelewa sana mkuu, pole sana, pengine kakuchukulia kuwa hata wewe ni walewale tu, Mi nadhani usikate tamaa endelea kumfuatilia ili umfahamu japo kidogo maadam una namba yake.