Wadada wanapenda sana attention ya wanaume sijui kwanini

Wadada wanapenda sana attention ya wanaume sijui kwanini

Juzi juzi nlikuwa mahali flani hivi nimesimama, akatokea mdada mmoja, simfahamu wala yeye hanifahamu, alikuwa amesimama umbali wa kama hatua 10 hivi kutoka nilipo, nlimuona na yeye aliniona, alivoniona tu..baada ya mda mfupi akaja direction ambayo mm nipo, aliponipita alinigusa mkono, as if ni bahati mbaya, ila mm kichwani nikajua huyu mdada itakuwa kanigusa makusudi..mm nlikuwa naangalia zangu pembeni, ile kuangalia upande wa kushoto kwangu, naona huyo mdada yuko karibu yangu amesimama, haongei chochote, anaishia tu kujigusa gusa nywele.

Kama mwanaume nlijua kitu nachotakiwa kufanya, ila tatizo mdada alikuwa hana chura, hakunivutia kabisa, kwahiyo nikampotezea, sikumsalimia kabisa, baada ya kumwona amesimama karibu yangu, nliondoka eneo alilopo..nliona nkimsemesha ntapoteza tu mda
ila tatizo mdada alikuwa hana chura,
ccc Behaviourist
 
wee jamaa sio gentleman kabisa aise.
mda mwingine mwanamke huwa anajisikia raha tu kusemeshwa na mwanaume.

hiyo opportunity ningeipata mimi nisingejali ubaya wa shape yake. ningempigisha tu story mbili tatu ili kumfariji halafu ningesepa zangu, hata namba yake nisingeomba. nishafanya hivi sana.
 
ukitaka kukagua kagua chura, rangi hautowamaliza, wewe sukuma ndani.
jamaa yangu huku kakwama kumpata mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, alitaka kuonja radha[emoji124][emoji23][emoji23]

Kwa Mungu mbali sana

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Mkuu hukua na idea ya kumpiga picha ili tuone hilo unalotusemea flat screen huwenda ni matunzo sio mazuri ndio maana Yuko hivyo yaani
 
Demi,

Waswahili wanasema chura anapenda maji, lakini si ya moto..mm napenda mdada anishobokee, ila sitaki mdada asionivutia anishobokee Demi
 
Sasa kilichokua kinakutoa povu ni nini..mara ooh unataka tutafte attention kwa wanawake wenzetu, mara ooh Demi
Umeuliza kwanini tunapenda attention kwa wanaume? Tutafute attention wapi Kama sio kwenu? Kama hakuvutii unampotezea kama vile sie tunavyopotezea wasiotuvutia.
Hatuwezi kuhoji kwanini tunatongozwa na wanaume, litakuwa ni swali la kiboya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom