Wapo sana, ila binafsi moyo wangu umeingia ganzi unaweza kumpikia na kumfulia boyfriend akakudharau vibaya mno na akakuacha bila huruma.Kupata mdada wa kukufanyia hayo yote ni nadra sana, wadada wengi wa sahivi ukiwatongoza, Kichwani wanajiuliza watafaidika vipi kipesa wakiwa na wewe kwenye hayo mahusiano, baadala ya kuwaza future yenu mtaijenga vipi pamoja.
in fact kwa sasahivi, naturally wadada wengi hawapendi kujipikia chakula chao wenyewe, achilia mbali kumpikia mume/boyfriend, sasa mtu Yeye mwenyewe kujipikia hapendi, anaona uvivu, ndio atampikia mume??
Mtu anabwia Serengeti lite kumi na kuvuta shisha unategemea aje awe mke wa maana heheeeee Equation x Leejay49 Ms eyes
Sijui kwann nimepata wenge gaflaπππππππMimi hapaππ»ππ»
π€£π€£π€£π€£πmbona tumepita 40 tuna 45 sahiz
Poleπ’Sijui kwann nimepata wenge gaflaπππππππ
Wenge lishaishaπ€£π€£ni kama sekunde Moja mbili tatu tu baada ya kuona umejibu una sifa tajwa nikawaza huyu mlimbwende atakuaje?Poleπ’
Hatuelewi, tueleweshe mkuuπππ€Mnaelewa maana ya huu msemo au mmekaririshwa na wapiga pesa huko?
Hata me nashangaa hapa sema hii inawahusu wanaotaka kuoa na kuolewa ngj nipite hv πMbona sijaona sehemu panaposema ajue kutoa mbususu pasipo kuombwa
Hapo kwenye kubana matumizi ingependeza kama akiadapt kutokana na mazingiraNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Kumekucha. KumekuchaaaaaaaaMbona sijaona sehemu panaposema ajue kutoa mbususu pasipo kuombwa
Mzee kabisaπWenge lishaishaπ€£π€£ni kama sekunde Moja mbili tatu tu baada ya kuona umejibu una sifa tajwa nikawaza huyu mlimbwende atakuaje?
Haya ila kama una sifa zote hzo na uhakika upo kwenye ndoa kitambo sanaMzee kabisaπ
Sijaolewa, nina 39 years old now.Haya ila kama una sifa zote hzo na uhakika upo kwenye ndoa kitambo sana
πππHuo umri hunaSijaolewa, nina 39 years old now.
SawaπππHuo umri huna
Umemaliza. Nashangaa jamaa anaacha point kuuKumekucha. Kumekuchaaaaaaaa
Hii ilikuwa iwe point kuu nyengine ziwe points saidizi π€£π€£π€£π€£
Tatizo ni nini?πmbona tumepita 40 tuna 45 sahiz
Hela haifanyi tendo la ndoa πHahahππ,, natafuta kwanza hela ππ