Wadada wanaofaa kuolewa

Shem huu ujumbe km unataka kumsema shoga angu Missy Gf sema umeshindwa kummention direct??

Kivumbi leo
Mbona unataka kutugombanisha πŸ˜€πŸ˜€; sifa zote anazo, yupo jikoni ananikaangia samaki sasa hivi, huku amefuga khanga kiunoni.
 
Mbona unataka kutugombanisha πŸ˜€πŸ˜€; sifa zote anazo, yupo jikoni ananikaangia samaki sasa hivi, huku amefuga khanga kiunoni.

Umejitahidi kuzunguka mwenyewe kumbe mlengwa unamjua umeshindwa kumuwin moyo wake na pesa, ukaamua kujiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…