Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,701
- 61,231
Mimi hapa👆🏻👆🏻Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Dadadeki hawa ngedere na tumbili wa zama hizi hawana hata robo ya hizo sifa, acha tuwanyandue na kuwafanya masingle motherNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Dadadeki hawa ngedere na tumbili wa zama hizi hawana hata robo ya hizo sifa, acha tuwanyandue na kuwafanya masingle mother
Mbona sijaona sehemu panaposema ajue kutoa mbususu pasipo kuombwaNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Uombi uombi hela wewe? 😀Mimi hapa👆🏻👆🏻
Wanawake ni ngedere ebu ukiwaona ngedere watizame kwa makini kisha mcheki demu halafu mpitishe maeneo utaona utashi na hisia zao ni ngedere watupuHahaha, eti ngedere...
Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusiAnaweza akafake hayo yote hapo halafu mseme wamewabadilikia kwenye ndoa...Anyways tumekusikia😌😊
Ndio nini hii
Changamoto sana, unakuta mwingine ana kazi nzuri, lakini ndio hivyo tena yuko singo na ana miaka 35+Dadadeki hawa ngedere na tumbili wa zama hizi hawana hata robo ya hizo sifa, acha tuwanyandue na kuwafanya masingle mother
Wanafuga kucha tu, ukimwambia akuchomee nyama hawezi 😀Unataka Pizza Eating Bandits waolewa na nani sasa ???
Wanawake ni ngedere ebu ukiwaona ngedere watizame kwa makini kisha mcheki demu halafu mpitishe maeneo utaona utashi na hisia zao ni ngedere watupu
Nyakati hizi wengi hawana sifa, wanafuata mambo ya 50/50 bila kujua yanawapoteza; mwisho wa siku anazeeka akiwa singo.Wanawake wenye quality za kuolewa huwa wanagombaniwa sana sokoni.
Ngumu sana kukutana na mwanamke alienyooka anaefika miaka 30 hajaolewa. Labda awe anakaa porini ama sehemu ambayo hakuna wanaume.
Ila akae Dar kwa mfano wife material anaolewa mapema sana
Kwakweli nitafanya hivyo, nitakapohitaji ndoa😊🤗Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusi
Wanafuga kucha tu, ukimwambia akuchomee nyama hawezi 😀