MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Sep 24, 2012 #21 Haya mambo ya makawa naona kwenye picha tu siku hizi, maaana ni longitaimu kweli
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Sep 24, 2012 #22 Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli
Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 620 Sep 24, 2012 #23 Mphamvu said: Asumini juu ya kitanda, sauti kama mtoto mchanga. Click to expand... Natamani kuja kuiona athumini hivi ndo kitu ganivileee?musnicheke nikaushambatu!
Mphamvu said: Asumini juu ya kitanda, sauti kama mtoto mchanga. Click to expand... Natamani kuja kuiona athumini hivi ndo kitu ganivileee?musnicheke nikaushambatu!
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Sep 24, 2012 #24 Yaani hata mama yangu sijaona akitumia hiyo kitu; actually hatujawahi kuwa nayo home, when l was growing up!
Yaani hata mama yangu sijaona akitumia hiyo kitu; actually hatujawahi kuwa nayo home, when l was growing up!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Sep 25, 2012 #25 watu8 said: Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli Click to expand... Watoto wa mbwa utawajua tu. Hapo mboga inakuwa imebonyezewa kwenye kibakuli juu ya ugali. hakuna cha mboga za majani wala tunda baada ya kula. Mpango mzima jagi la maji...
watu8 said: Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli Click to expand... Watoto wa mbwa utawajua tu. Hapo mboga inakuwa imebonyezewa kwenye kibakuli juu ya ugali. hakuna cha mboga za majani wala tunda baada ya kula. Mpango mzima jagi la maji...