Wadada walioyosoma wanajisheua sana!

Wadada walioyosoma wanajisheua sana!

ooh siwez deti saidia fundi ,ooh ukiniangalia mm ni mtu wakutumia kiswaswadu kama huwez kuninulia ifoni sikutaki,duh ww mkaka unanuka jasho mmh! nahisi kichechefu ebu nisogee pemben huk anashika pua!
Umaskini na kukosa kipato ni ugonjwa mbaya sana .

Tafuta hela kwa nguvu zote hizi negative mindsets hutokuwa nazo
 
Nimewahi kuwa saidia fundi nilibahatika kudate mwanachuo pisi hatari .

Tena nilimwambia kazi yangu na atakubali

Jitahidi ukitoka kwenye zege vaa vizuri zingatia code watajileta wenyew kwako na hawatakuomba hata mia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom