Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,564
- 6,341
Wanajituma sana hususani wasimbe
Mbona wewe ulikwenda kuoa Mnyakyusa? Wasukuma hukuwaona hapo Mwanza? Nyanoko faza! 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hatimae dada zangu wamefikiwa ..safi sana.Ukioa mwanamke wa kisukuma ww mjengee kijumba mtafutie shamba yy ndo atakua anasimamia na kulima shamba ww kazi yako kumlima yy usiku na kukuzalia watoto.Dada zangu mnaupiga mwigi💪
Niliachana nae nikarudi kwa wasukuma wenzangu fazaMbona wewe ulikwenda kuoa Nyakyusa? Wasukuma hukuwaona hapo Mwanza? Nyanoko faza! 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nayega sana faza - kama ni kweli! 👏👏👏👏Niliachana nae nikarudi kwa wasukuma wenzangu faza
Ukware ni kitu gani?Mbogwe, wanauza kitwiri, nsasa, mbute, matobolwa na wanapiga ukware.
Ni msemo wa maeneo ya machombo ya dhahabu, ambapo Wamama hufagia na kukusanya mabaki ya dhahabuUkware ni kitu gani?
Yeah Wanapambana sana