wadada wabaya ndo hutongoza wanaume


We sururu! Nikisema jembe ntakuwa nimekudhurumu
 
 
Kauli hii si kweli, hata wadada walioumbwa wakaumbika wakikuzimikia hawaoni hiyana kukutongoza.
 
ha ha ha ha..., sasa hapo bro si unazungumzia machangudoa.. hao wanakutongoza mpaka anakushika mkono mka du..,

Mwanzo nilidhani hivyo ila hapana bro, nilikuja kuona baadae ni mtu na heshima yake na uwezo wake kabisa huwezi amini aisee
 
kwanza naomba nikurekebishe hamnaga mwanamke mmbaya, ni bahat yako 2 ndo mbaya mi nshakutana na wenye mvuto kupitiliza
 
I can prove you wrong mkuu...labda hapo kwenye red ndio panakuangusha na pamekuletea ma shapeless na wabovu!kwangu wote visu tena vibaya mno, kuna mmoja huyo mtaa mzima vijana walikua wanaaangaika naye na ile sura na shepu + kidoti usoni, toto la kichaga,kidume nilikua sina hata tym naye ingawa nilikua namkubali mkali ila sikutaka competition na mijitu yote street,si alimtuma mtu aje kunipa ukweli kama ye kafa kabisa na kuoza...dah umenikumbusha mbali sana.
 
Kuna mwanamke alintongoza ,ana pengo si mwanya na mvi za kutosha ila ana makalio na umbo zuri kiujumla..lakini wengine walinilidhisha na muonekano wao
 
mi naona inategemea mapenzi yamekupokea je mbona. kuna warembo wengi tu wamewatongoza wanaume
 
Kauli hii si kweli, hata wadada walioumbwa wakaumbika wakikuzimikia hawaoni hiyana kukutongoza.

Hajapataga bahati ya kukutana na hao viumbe wenye reference za kutosha ndo maana anaona sia jamboa la kawaida
 
Wanawake wote wanatongoza
isipokuwa wengi hawatongozi kwa kusema kwa mdomo,
vitendo tu
The Boss umependeza!!!! na shati lako limekukaa vizuri kweli, ila kola hujaiweka vizuri,..... naomba nikurekebisha kola!!! unanukia vizuri sana, unatumia perfume aina gani? :smile::smile::smile:
 
hata wadada nao hutngozwa na sura kama hizi!!
 
ha ha ha..., hapo hapaniangushi kivile, ni kijana wa kawaida, sio hb sana wala sura mbaya. ila hapo hukunielewa vizuri, sikumaanisha wale wanaotuma watu au kuonesha viashiria kwamba she is in love, naungumzia wale wanaokuita na kukupiga sound kabisa macho makavu..
 
ha ha ha..., usijali next time nitamalizia kabisa. ushauri wako nimeuchukua. nitamfanya best friend, ila ku do hapana.
 
Okay Mkuu..pia wapo wanaotokea kwnye fbuk ama phone sio face to face!!ila niliowazungumzia wengi wametuma washkaji ama wenzao kufikisha ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…