Wadada wa siku hizi na ndo za ghafla

Wadada wa siku hizi na ndo za ghafla

Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>>

Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika Mademu Gheto wanakuja wanalala halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa utaenda kazini,wao wanajifanya wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu mi niache bado nna usingizi niachie funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima avae gagulo,mademu wa siku hizi wanakupekecha hadi unakaa sawa,wanachukua nguo yako wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaichezea Alingo na Azonto kwa Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi nguo za kwenda kazini kesho na gheto limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu ile nguo,na vile Mungu kwako ni part time job kama Customer Care operator UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula au kuwekewa kipande cha Nyama kwenye kipapuchi,Watch out...Ni Sistaduu na ana sura ya upole lakini Trust No One...wanaloga usitake Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6 anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati wiki6 zilizopita uliniambia utaoa maybe 2017 najua tayari umenaswa...Ufunguo wa Gheto sikupi,amka tutoke wote,usingizi kwenu!

dah,umenivuja mbavu, alingo huku amevaa boksa yako kichwani!
 
hahahaaa kazi mnayo mtoa mada shauri lako utakamatika padogooo tu we mwenyewe bila kujua..hata kama uwakaribishi ghetoo:smile-big:
 
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>>

Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika Mademu Gheto wanakuja wanalala halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa utaenda kazini,wao wanajifanya wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu mi niache bado nna usingizi niachie funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima avae gagulo,mademu wa siku hizi wanakupekecha hadi unakaa sawa,wanachukua nguo yako wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaichezea Alingo na Azonto kwa Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi nguo za kwenda kazini kesho na gheto limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu ile nguo,na vile Mungu kwako ni part time job kama Customer Care operator UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula au kuwekewa kipande cha Nyama kwenye kipapuchi,Watch out...Ni Sistaduu na ana sura ya upole lakini Trust No One...wanaloga usitake Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6 anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati wiki6 zilizopita uliniambia utaoa maybe 2017 najua tayari umenaswa...Ufunguo wa Gheto sikupi,amka tutoke wote,usingizi kwenu!

Asante Kwa Ushauri wako ila Sioni Sababu Ya Kwenda KUMKANYAGA Demu Lodge au Guest Wakati Nina Ghetto Langu. Anayetarajiwa Kuolewa na Vicheche Wote Wazanaki Tunasema (MANZI GE NYANZA) Yaani Wote Kwangu ni Sawa tu Kwani Huwezi Jua katika hao hao Vicheche Anaweza Kupatikana Shemeji na Wifi Yenu. Kuhusu Kulogwa Umetaka Mwenyewe na Silaha Kubwa Ya Kukwepa Mtego wa Dawa ktk Chakula ni Kumwambia Huyo Demu Mle Wote na Ukiona tu Anakataa Ujue Amekuwekea Dawa hivyo Usile na Ukitaka Kumkomesha Zaidi Kama Dawa Akiweka ktk PAPUCHA YAKE au VULVA YAKE au KOKWA LAKE Dawa ni Ndogo Sana na Cha Kufanya Kabla Ya KUMKANYAGA MWAMBIE AKAOGE NA AKIENDA TU UPESI na HARAKA BADILISHA SHUKA NJE NDANI au GEUZA UPANDE WA GODORO na AKIRUDI TU KUTOKA KUOGA DAWA YAKE INAKWISHA NGUVU. Yote haya Tisa ila Kumi ni Kwamba Kama Unamuhisi Demu Wako au Mkeo ni MSHIRIKINA Hakikisha Chumbani Kwako Hukosi Kipande cha NDIMU au LIMAO na UFICHE SEHEMU AMBAYO HATOWEZA KUIONA au UKIWEZA TAFUTA JANI au MBEGU ZA Bange ( Bangi/Puje/Sigara ----- ) ZIWEKE CHUMBANI KWAKO na SEBULENI ILA ZIWE KTK MAFICHO. Mwisho Kabisa Ushauri tu wa Bure Kwa Vijana Wenzangu Muwe Mnapenda Sana Kuwatembelea Wazee na Kupata Nasaha na Mbinu Zao na UTAJIFUNZA MENGI Mno na Kamwe Msiwadharau Wazee. Mkitaka Mengine Zaidi Mtaniambia na Nitawamegea Kile Nilichonacho na Nasikitika Sana Ninapoona Vijana Wenzangu MNATEGWA na KUFANYWA MALOFA na MABWEGE na Hao Mademu na Wake Zenu Kumbe Dawa ni Ndogo Sana Ya Kuwakomesha. Kibaya Zaidi Unawekewa MIDAWA ( FUSHO ) Na Demu au Mkeo Halafu na Yeye tena anakwenda KUKANYAGWA ( KUGEGEDWA ) Nje na Masela au Mabraza Men Bila Kusahau Mizee na Vibosile, Inauma Saaaaaaa.......na!
 
this is nice...au akalale kwenye gari maana naonaga dar yenu hii watu wanalala kwenye daladala utafikiri wako long safari!
 
Mhhhhh!

Ha! Ha! Ha! Ha!
kaka you made my day....
wanacheza alingo na azonto!
na hapo kwenye mungu part time dah! nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom