Ukiona yanayotokea kwingine ndio unajifunza kuappreciate nchi yako. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.
HARARE - A domestic worker has gone on trial in Zimbabwe for allegedly killing a 10-month-old baby she was looking after by stuffing him into a drawer, the Chronicle reported on Wednesday. She allegedly wrapped baby Ethan Phiri in a blanket, put him in a drawer, closed it, and went to watch television. When she went to check on him three hours later, he was dead.
In 2012 an HIV-positive domestic worker from Masvingo, southern Zimbabwe, was sentenced to eight years in prison after she was found to have laced her four-year-old charge's porridge with menstrual blood.
Domestic worker in court for baby's death | eNCA
Mimi nilisha acha kuwa na wadada kwangu.
Mimi nilisha acha kuwa na wadada kwangu.
Kwa kweli unakuta mtu una hamu ya kuzaa lakini ukiwaza hawa ma house gal yaani hamu yote inaisha hadi kizazi kinasinyaa kwa hofu. sina hamu na hawa watu kwa kweli.
Una wakaka au?
Kwa kweli unakuta mtu una hamu ya kuzaa lakini ukiwaza hawa ma house gal yaani hamu yote inaisha hadi kizazi kinasinyaa kwa hofu. sina hamu na hawa watu kwa kweli.
Wewe hujataka kuzaa, pia mlezi mzuri wa mwana ni mamaye.
Kwani wanaokupa huo ujauzito ni hao mahouse girl? Wewe ubanjuke afu yeye abebe watoto na kuosha nepi?
huchoki?Hata wakaka hakuna, ni mimi na family. Kazi zote nafanya mwenyewe. Mtoto anashinda shule ya watoto hadi jioni. Nikitoka kazi namchukua, maisha yanaendelea.
Mimi nilisha acha kuwa na wadada kwangu.