Wadada wa kanisani na mini sketi

Oooh puliiiiz. Binti hasa aliyeumbika yupo hapo mbele yako mipaja nje nje wengine hata mbunye ilivyovimba waweza kuiona akijifanya anajigeuza au kuokota kitu halafu we rijali kabisa usipate japo hisia kidogo. Lazima uwe gwiji wa meditation au hanithi/shoga. Hata Mfalme Daud yalimshinda alipomuona bibie Bethsheba akijisopu sopu. Kwa vijana wengi huu ni mtihani mgumu sana. Hongera zako wewe uliye na uwezo wa kucontrol hisia zako. Pengine itabidi uanzishe thread ufundishe hatua za kufuata kufikia hiyo stage uliyofikia.

Eti umwone kama huyu kajiachia kanisani halafu usiingiwe japo na kawazo kabaya halafu we rijali kabisa aisee utakuwa shujaa sana wa kiroho!
 
Hiyo point mzee.
Kanisani kuna pepo la uzinzi sana.
Shetani yupo kazini,anamtumia mtu wa rohoni kukutia majaribuni.
 
Reactions: lup

Okay.

Assume huyo ni dada yako, mama yako au mwanao. Will you perceive the same with the same reaction?

[HASHTAG]#Perception[/HASHTAG] ndio tatizo. Tatizo sio umbile la kutamanisha maana kuna wanawake unaowafahamu ambao hata kama wana umbile gani hutatamani. Je tunatamani kwa DNA? No, ukitani hutamani kwamba relationship yako na unayemtamani ipoje. Mfano kama umetamani mwanamke mwenye umbo zuri ukaja kuambiwa ni dada yako na ulikuwa hujui lazima utaanza kupunguza tamaa kwa sababu umejizoesha kutoweka tamaa kwa ndugu. Na kama sio ndugu tamaa inakuwa tofauti na ndugu. Hili halina uhusiano na DNA ni MAZOEA tu ndio tatizo.

Na sio kila mwanaume kamili anatamani kama ulivyosema. Unaweza kuona mwanamke mzuri na wazo la tamaa likaja akilini, ni natural kwa ufahamu kutumia milango ya ufahamu kutazama mazingira yanayotuzunguka na kuleta ideas mbalimbali na thoughts mbalimbali akilini, lakini usipolipa kipaumbele wazo lolote mfano wazo la tamaa hupotea lenyewe. Its a law not a theory. Wazo lolote unapolipa kipaumbele au hisia yoyote unayoipa kipaumbele akilini hukua.

Hivyo a true man akiona ametamani anajua hiyo situation imeanza kwenye his mind na haipi kipaumbele na kuendelea kufanya yake. Kama mazingira yanaruhusu kuweza kuwa na huyo girl unafuata procedures nyingine za kumuoa ili awe wako na sio kumchezea.
 
Sawa mkuu. You are one in a million. Mi nikiona msichana mzuri kaachia mipaja nje basi ni automatic huyu mwenzangu kwenye boxer anaanza kunisaliti hata nijitahidi vipi kupotezea. Nadhani pia ni suala la umri na naamini probably huko mbele ya safari nitaweza kuwa na control unayoisema. Kwa sasa ikibidi mkuu funga kabisa ili uniombee ili hali hii ianze kuniepuka mpaka nikiona mipaja ya mabinti nisiwe na hisia zo zote. Asante!
 
rafiki kuna tofauti kubwa kati ya Dada wa damu na Dada wa kiroho...pia jumlusha mazingira....lakini pia Dada yangu wa damu hata kama tumejikuta yeye yuko amevaa mavazi tata,atajitahidi japo kuonyesha nia ya kujiheshimu na sio sasa anajiachia na smartphone na mapaja nje....
 
halafu unakuta nusu ya nabinti kanisani wamevaa hivyo na mwisho wa siku anakusalimia...kaka lup za cku yaani nimekumiss na kumbatio juu mikono kiunoni... ukweli uwepo wote huwa unaniishia
 
Mngh!! mama nanliu kuja huku
 
Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiibu!
Mkuu hiyo ni hatari weka mbali na batoto!.
 
Kuna njia rahisi msijihukumu vijana,,mwanamke akiwa mzuri ni mzuri tu,,hata umfiche wapi,,hata avae nini,,mtu mmoja ninaemheshimu aliniambia(siku nyingi zilizopita🙂nikimwona mwanamke mzuri popote pale na Ukuni wangu ukasimama nisijihukumu,,,nimtukuze MUNGU kwa kuumba mtoto mzuri namna hio,,,maana hata ule ukuni umeanza kutoa sifa ukimtukuza Muumba wa vyote,,,vyenye kuonekana na visivyoonekana.
 
Kweli wewe kaka jambazi
 
nafikiri waislamu walifanya vizuri sana kutenganisha mwanaume na wanawake kusali tofauti,ina make alot of sense
 
Hapana mkuu we nenda uwe unasali hao wasikupe distraction
 
nafikiri waislamu walifanya vizuri sana kutenganisha mwanaume na wanawake kusali tofauti,ina make alot of sense
Ya kwao isingewezekana. Ile ya kuinama ile aisee wangekuwa wanaparamiana kabisa. Kutenganisha ni solution nzuri!
 
Halafu huo utaratibu wa kwenda misa na simu sijui umetoka wapi, kuvaa nguo fupi, mabega nje kweli kina dada tunaivunjia heshima ibada. Kwetu mzee wa kanisa anakurudishia mlangoni wala huingii ndani
 
Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume hatupendagi ujinga huo sisi lazima uingie kanisani umevaa "vali la stara" na walinzi wa zamu wapo

Liko wapi hilo nije nihakikishe kama unayosema ni ya kweli?[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…