MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Nani kakuambia hizi ni nyumba za ibada poleToka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na yale ya mjini kati, kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket inayopita magoti halafu na juu amevaa nguo inayoishia kiunoni tu.
Halafu unakuta hana hata kile kitambaa cha kujifunika hana, shida inaanzia pale anapoanza kuingia rohoni kwenye nyimbo za kuabudu, Mara ananyosha mikono, Mara anainama, Mara anapiga magoti hapo kiuno nje na kama anashanga ndio basi tena akili inasoma mbali ya kijana rijali.
SAA ya mahubiri yuko bize na simu yake ya sumsang na hajali kama amekaa na kijana wa kiume hapo halafu mapaja yako nje balaa, kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda.
Au kwenye darasa cha sunday school maana hapo viti vinaangaliana bila hata uoga dada unamwangalia mapaja hata hajali.
NB; WAPO WATAKAOSEMA KANISANI UNAENDA KUABUDU NA SIO KUANGALIA MTU, lakini ukweli ni kwamba macho hayana pazia DADA ZETU TARATIBU KWENYE NYUMBA ZA IBADA. Kwani hata maombi ya kutafuta mke bado sijajibiwa sasa kazi sana.
Maada yako ina ujumbe wa maana sana ila ungeweka na picha ungeleta maana zaidi kwa kuwa hata wale wasiofika huko ktk makanisa ya lugha za kigeni wangejionea uhalisia na hali halisi ya hukoToka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na yale ya mjini kati, kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket inayopita magoti halafu na juu amevaa nguo inayoishia kiunoni tu.
Halafu unakuta hana hata kile kitambaa cha kujifunika hana, shida inaanzia pale anapoanza kuingia rohoni kwenye nyimbo za kuabudu, Mara ananyosha mikono, Mara anainama, Mara anapiga magoti hapo kiuno nje na kama anashanga ndio basi tena akili inasoma mbali ya kijana rijali.
SAA ya mahubiri yuko bize na simu yake ya sumsang na hajali kama amekaa na kijana wa kiume hapo halafu mapaja yako nje balaa, kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda.
Au kwenye darasa cha sunday school maana hapo viti vinaangaliana bila hata uoga dada unamwangalia mapaja hata hajali.
NB; WAPO WATAKAOSEMA KANISANI UNAENDA KUABUDU NA SIO KUANGALIA MTU, lakini ukweli ni kwamba macho hayana pazia DADA ZETU TARATIBU KWENYE NYUMBA ZA IBADA. Kwani hata maombi ya kutafuta mke bado sijajibiwa sasa kazi sana.
Wengine tuna tembea na vikoi ikitokea tunajifunga ngoja nianze kufanyia kaziUshauri kwa wadada nyakati zote (aliniambia mdogo wangu wa kike): "Wakati nachagua nguo ya kuvaa kutoka nje huwa najiuliza swali moja, 'Ikitokea nimetakiwa ghafla kwenda kanisani, je nitaweza kwenda na hii nguo kanisani bila kuhitaji kubadii?'"
Hakuna siku I felt proud of her kama siku hiyo!
Mdogo wako azidi kubarikiwa, kwa kweli uvaaji wa kimagharibi unatumaliza. Baadhi ya wanawake wanatia aibu sehemu za ibada, utashangaa sasa nguo inavyovutwa, unajiuliza kwani akiivaa hakujua ni fupi!Ushauri kwa wadada nyakati zote (aliniambia mdogo wangu wa kike): "Wakati nachagua nguo ya kuvaa kutoka nje huwa najiuliza swali moja, 'Ikitokea nimetakiwa ghafla kwenda kanisani, je nitaweza kwenda na hii nguo kanisani bila kuhitaji kubadii?'"
Hakuna siku I felt proud of her kama siku hiyo!
Hakuna mwanaume mwenye akili akavutiwa na mwanamke anayevaa nusu uchi sehemu ya ibada. Zaidi atamlala na kumuacha tu.Wengi wanatafuta waume wa kueaoa.
Kila penye mkusanyiko ni sehemu ya kutumia fursa.
Mdogo wako azidi kubarikiwa, kwa kweli uvaaji wa kimagharibi unatumaliza. Baadhi ya wanawake wanatia aibu sehemu za ibada, utashangaa sasa nguo inavyovutwa, unajiuliza kwani akiivaa hakujua ni fupi!
Toka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na yale ya mjini kati, kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket inayopita magoti halafu na juu amevaa nguo inayoishia kiunoni tu.
Halafu unakuta hana hata kile kitambaa cha kujifunika hana, shida inaanzia pale anapoanza kuingia rohoni kwenye nyimbo za kuabudu, Mara ananyosha mikono, Mara anainama, Mara anapiga magoti hapo kiuno nje na kama anashanga ndio basi tena akili inasoma mbali ya kijana rijali.
SAA ya mahubiri yuko bize na simu yake ya sumsang na hajali kama amekaa na kijana wa kiume hapo halafu mapaja yako nje balaa, kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda.
Au kwenye darasa cha sunday school maana hapo viti vinaangaliana bila hata uoga dada unamwangalia mapaja hata hajali.
NB; WAPO WATAKAOSEMA KANISANI UNAENDA KUABUDU NA SIO KUANGALIA MTU, lakini ukweli ni kwamba macho hayana pazia DADA ZETU TARATIBU KWENYE NYUMBA ZA IBADA. Kwani hata maombi ya kutafuta mke bado sijajibiwa sasa kazi sana.
Mungu Atakuepushaje na majaribu wakati binti moto kabisa kaachia mipaja minene myeupe iliyonona hapo mbele yako na wewe ni rijali halafu una ukame? Aisee hata uombe vipi hisia zitakuwepo tu na hutaweza ku-focus sawasawa. May be kwenu mnaofanya yoga na meditation mnajua jinsi ya ku-focus energy zenu na kuzuia mawazo kuingiliana. Mi aisee huwa siwezi na solution pekee huwa ama nahama sehemu hiyo au naondoka zangu kwa sababu hata nikibakia hakuna kitu kitakachoendelea kiroho hata kama mhubiri angetenda miujiza ya kufufua wafu na kurudisha misukule kama Gwajima. Mabinti mnaofanya hivi jueni kuwa mnatumiwa na shetani na Mungu Anawaona!Ni kuomba mwenyezi Mungu akuepushe na majaribu kwani hiyo ni moja wapo ya kazi za shetani kuhakikisha kuwa anakurudisha nyuma usiishi sawa na mapenzi ya Mungu.