Wadada wa kanisani na mini sketi

Shetani yupo hata makanisani akiwinda. Mimi huwa natafuta sehemu nyingine ya kukaa na nikikosa basi afadhali niondoke. Kuna mdada mmoja nadhani hata chupi hakuna nayo nilimwambia aondoke na jambo la kushangaza kweli akatii na kutoka nje.
asante nitaanza kutumia Huyo mbinu yako
 
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kusema kwambaaaa "kwa kweli nahisi nitaanza kuwa nawatongoza tu kwani uvumilivu unataka kunishinda" huko koote ulikua unazunguuka tu baba lup
ni mawazo tu boss
 
Wadada wanashusha hadhi yao wenyewe, kila sehemu wao wanadhani ni ya kutega, ukute mwingine kavaa gauni refu lakini lumemtight unaona kila kitu
 
Reactions: lup
Daaaah Ila kweli Hawa Madada zetu sijui wanakuwaga na makusudi gani, kuna ibada moja nilishindwa kabisa kusimama na pia nkashindwa kabisa kwenda kutoa sadaka....yule Dada alinivuruga sana
 
Nshakutana na mmoja huyo anabonge la chura na kavaa kihasara hasara yaaani, kilichomuokoa nahisi ni huko alikokuwa anaenda maana sipendagi ujinga mm
 
Kanisani napo ni sehemu ya kuchagua wachuchu tu.
 
Braza hilo kanisa liko wapi, tualikane aisee tuje tumsifu allah kwa uumbaji wake
 
Binafsi nimepunguza mahudhurio kutokana na tabia hii ya wadada (wananitendesha dhambi sana, hasa ya kimawazo).....naweza toka home nikiwa nko clean kabisa kwamba leo naenda kusali katika roho na kweli.....lkn kuanzia njiani ninaokutananao wanaoenda ibadani mpk ndani ya kanisa wadada uvaaji wamefeli na wanatutesa (mini skirt, nyama nje nje...and the like)
Huwa naona ni bora nisikilize mahubiri kwenye radio na nijisomee maneno matakatifu ktk vitabu vya imani yangu, sadaka zote ntawasilisha kwa miamala ya kipesa.

TOO MUCH........
 

Hakuna dini isiyotawala tabia nia mienendo ya watu, ukiona hivyo hiyo sio DINI
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…