Wadada wa Sinza wameanza kujipitisha nyumbani kwa dokta Shika wanasema kwamba Dk. Shika ni mpole, mstaarabu.
Wadada wengi wameanza kumsaka tajiri Dr. Shika na wengine wameenda ofisi za Television mbali mbali kutaka kupata namba yake ya simu na wengine wameende ofisi za magazeti mbali mbali kusaka namba yake uko Tanzania.
Wadada maarufu wameonekana kumtolea macho Dk. Shika
Ni Dr. Shika bilionea wa Awam ya Tano,
Muda mchache baada ya kulipia pesa zake alizozitawanya huko duniani kwenye mabenk tofauti tofauti . ameanza kuzingirwa na watoto wazuri.
kama wadau wa Jf walivyotabiri hapa
Note:
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.