Wadada wa Dar: Dk. Shika ni mpole na anaonekana kuyajua mapenzi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Wadada wa Sinza wameanza kujipitisha nyumbani kwa dokta Shika wanasema kwamba Dk. Shika ni mpole, mstaarabu.

Wadada wengi wameanza kumsaka tajiri Dr. Shika na wengine wameenda ofisi za Television mbali mbali kutaka kupata namba yake ya simu na wengine wameende ofisi za magazeti mbali mbali kusaka namba yake uko Tanzania.

Wadada maarufu wameonekana kumtolea macho Dk. Shika

Mwenyewe shika amefunguka katika video hii


DK. SHIKA ASAKWA!
 
Ni Dr. Shika bilionea wa Awam ya Tano,
Muda mchache baada ya kulipia pesa zake alizozitawanya huko duniani kwenye mabenk tofauti tofauti . ameanza kuzingirwa na watoto wazuri.
kama wadau wa Jf walivyotabiri hapa

Note:
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.
879ec2ca2848249e38b8346bd0681155.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom