Wadada vs Wanaume

kwa kweli lazima Yesu ashuke
 
kunasehemu mnakwama
 
Let's not argue about that kwa sababu katika hilo kila mtu ana mtazamo wake
Nikweli hatuwezi kukubaliana katika hili ila Mara nyingi wanawake hua hawapendani Mimi ninaweza nikadate Chick mmoja Na mwanaume mwenzangu tukijuana tutacheka nakufurahi nakuhadithiana vile ulivyo lakini ninyi hamuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…