Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,640
Habari,
Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.
Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.
Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?
Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.
Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!
Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.
Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.