katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,758
Kuna maeneo hatarishi wakichorwa tatto... ili sisi waoaji tuzione na kuvutiwa nazo lazima wakae mikao ya hasara kama siyo uchi kabisa... so itamlazimu sehemu kubwa ya mwili wake awe anauacha wazi... au tunasema akae nusu uchi...
Cc: mahondaw
Kuna mmoja juzi nimeona kwake kwenye corridor ameweka shelf ya kama 3×2M imejaa viatu kila aina, hand bag ukiangalia alipozitundika unaweza anzisha duka la mabegi!!!! Nilimwambia haya ni matumizi mabaya ya hela zako akachukia. Wadada mna kazi sana.Aisee, ahsante kwa kutushtua kutoka usingizini, tumeamka sana ,tutapiga kazi. Handbags 20?? Hayo ni matumizi mabaya sasa
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Amechukia kwasababu hela ni zake,anatumia apendavyo iweje wewe umwambie ni matumizi mabaya ya pesa zake?Kuna mmoja juzi nimeona kwake kwenye corridor ameweka shelf ya kama 3×2M imejaa viatu kila aina, hand bag ukiangalia alipozitundika unaweza anzisha duka la mabegi!!!! Nilimwambia haya ni matumizi mabaya ya hela zako akachukia. Wadada mna kazi sana.
Wewe huoni threads humu watu waliokwama wanauza nyumba zao? Kimfaacho mtu chakeMuhimu ni kufanya kitu kinachokupa furaha. Tatizo tumezoeshwa kufuata vitu ambavyo Jamii inataka. Kimojawapo ni kujenga,yaani kujenga imekuwa kielelezo cha mafanikio kwenye maisha.
Kwani na nyinyi ni waumini wa da Mange?
Kwahio tujenge ili tuuze tukikwama? Hamna solution ingine ukikwama?Wewe huoni threads humu watu waliokwama wanauza nyumba zao? Kimfaacho mtu chake
Kuna tatizo kama mimi mwenyewe nikiridhika na hilo?Vunja mifupa ingali meno ipo au unataka kulea wajukuu kwenye chumba na sebule?
wewe sio mdada?Leo weekend wameenda kudamshi ngoja warudi