aisee basi sawa acha niwe na kismat cha upako, unamshaurije huyo dada au unatushaurije sisi wadada je n sawa tulazimishe ndoa au tunakosea.Ha ha ha ha aisee Unakumbuka jana nlisema una busara fulan hv sjawah kuiona huyu uliempata sa hv usimuache ana kismat cha upako
shukrani eddy Mungu ndio kila kitumaneno haya ni mepesi kwa mabashite lakini kwa wenye uelewa mpana wakisoma hapo kuna ujembe mzito sana ndani yake....hongera sana mamy....chamsingi ni uvumilivu na kumuomba sana Mungu....kwani bila yeye Mungu kupenda hakuna kinachoweza kuendelea maana Mungu humpa amtakaye na hutoa kwa kile mtu anachostahili na si vile mioyo yetu inavyotaka...Mungu angekuwa anatoa kulingana na uhitaji wa Moyo wetu wengi tungeumizana na kudharauliana sana.
Bila shaka kwa mbio hizi swali litakuwa gumu nguja nilikimbieNgoja nije nikuulize daby
Oouh hapo sawaKwa wale ambao wanaogopa kufanya/kuendeleza dhambi ya uzinzi huoa akishakuwa angalau vizuri kiuchumi.
Haya jipange pange uniulizehahahhahah Daby ata kukuuliza nimeshindwa ila nitakuuliza tu
Hapana kulazimisha sishaur maana matokeo yake utakuja kuyaona badae.aisee basi sawa acha niwe na kismat cha upako, unamshaurije huyo dada au unatushaurije sisi wadada je n sawa tulazimishe ndoa au tunakosea.
sawa Bonny umeshauri vizuriHapana kulazimisha sishaur maana matokeo yake utakuja kuyaona badae.
Wanaume tuna principal moja tunafanya kitu kwa jinsi moyo wetu unavyotaka especialy linapokuja swala la ndoa, La msing ni aweze kutengeneza mazingira ambayo mwanaume ataona umuhimu wa huyo dada kuwekwa ndan as long as ameishi nae anajua weakness na strength zake anaweza kutumia hzo kumfanya aweze kumuoa na SIO KULAZIMISHA
mmmh
Nashukuru kwa Kuliona hilosawa Bonny umeshauri vizuri
Swali lako kwa mazingira haya tunayochanganyikana na warembo kutoka kila mkoa na wa aina tofauti tofauti naweza kusema ni la mtego na nikilijibu vibaya litanicost. SIJAOA MIMI.vipi ww umeshaoa
Tena kujipanga nineno pana sanaa, waweza kua juu kiuchumi ila hujajipanga ki saikolojia na ki akimawazo (utayari)huyo dada anajua mtu kujipanga mpaka awe sawa kiuchumi???
ndoa ni jambo zito that is why watu wanapewa vyeti kabla ya mtihani
ndoa ni ndoano
Exactly mkuu. Watu wengi wanajua ukishakuwa na kazi/uchumi basi unaoa. Kuna mambo mengi jamanTena kujipanga nineno pana sanaa, waweza kua juu kiuchumi ila hujajipanga ki saikolojia na ki akimawazo (utayari)
Marriage is readiness.