Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo

Napenda zaidi amarula
Viwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.

Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.

Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
 
Nitajaribu kuitafuta
 
Vyuma vimekaza wadada wanakunywa kilimanjaro ndogo za 1500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…