Wadada tufunguke!

Mhhhhhhhhhh Gorgeous mimi kumbe kuna type ya wanaume ambao wanawaingilia wake zao kwa nguvu kama njia ya kupunguza hasira zao?sasa na baada ya hapo je nini kinafuata hasira zake zinakuwa zimeisha? ndo anaanza kukuomba msamaha ama?maanake this is too confusing aisee.
 
Last edited by a moderator:
Kama alivyosema Evelyn Salt kwamba baada ya ugomvi mnapoozana na tendo lenyewe.Baadhi ya watu wanatumia kama njia hio kupoozea hasira kama ile una hasira ur fighting back anakukumbatia,mabusu n.k
 
Last edited by a moderator:
Hivi Liverpool atachukua ubingwa kweli??

Tena huyo liverpool akinikera natukana ukoo woooooote, naanzaga na Baba yake Rodgers bila kusahau kaka zake kina Gerrald, Suarez, Sturridge, Coutinnho,, Sterling yani sibakishi mtu kudadadeki.
Upo?
Halafu sio vizuri kuvuruga mada za watu..........!
 
Mimi Hubby wangu huwa namviziaga usiku anakuwaga mpole sana hata kama alinikwaza mchana,nauchuna wala simuonyeshi tofauti yoyote!!..mara nyingi mchana anakuwa bize na kazi usiku napata wasaa mzuri na yeye,.wakati tunabembelezana namwambia kwa lugha ya kitandani tena tamu na hivi sauti yangu ugonjwa wake..."mme wangu mpenzi,laazizi ...,sakafu wa moyo wangu,mchana ulifanya hivi sikupenda honey,nimekusamehe!, naomba isijirudie tena kipenzi changu".anaelewa tu!
 
Mimi akiniudhi nampa hapohapo(aombe msamaha asiombe mi nikishaongea ndo yameisha hivyoo). Km mimi nimemuudhi namuacha kwanza atulie then ntamuomba msamaha. Akidengua hapo nampotezea jumla mpaka aanze yeye kunisemesha
 
Umeelewa nilichoandika lakini?

NIMEKUELEWA NA NINAEXPERIENCE YA MIAKA 10 KUSURUHISHA MAGOMVI YA WABADILISHANA VIKOJOLEO, KUBALI KATAAA MGEGEDO NDIO KILA KITU,HUMALIZA HASIRA NA CHUKI... MPE PAPUCHI UONE, NA AKIWA ANASHUGHULIKA ATAKUOMBA SAMAHANI TU,

SIJUI PAPUCHI INANINI, NAIFANYIA RESEARCH YANGU YA UZAMIVU, SOON NTALETA DATA HAPA KAMA ZA JAJI SIENDE WARIOBA.,NA TAYARI TAKWIMU ZA MWANZO ZINAONYESHA MIGEGEDO BAADA YA UGOMVI MKALI HUWA NI MECHI KALI SANA,


KWA MAELEZO ZAIDI WASOME MSOME; Evelyn Salt Sibonike hapo page 1
 
Kama alivyosema Evelyn Salt kwamba baada ya ugomvi mnapoozana na tendo lenyewe.Baadhi ya watu wanatumia kama njia hio kupoozea hasira kama ile una hasira ur fighting back anakukumbatia,mabusu n.k


SASA SI UNAONA UNAKUBALI KIANA, KWAMBA UGOMVI UKITOKEA KUSOLVE DAWA NI KUOMBA MGEGEDO TU.. KESI HAKUNA TENA, KULA LIKE MIA, HAPANA CHEJEA KIPOCHI MANYOYA, HUO NDIO UWENDAWAZIMU WA BINADAMU WA KIUME.

ekambomunene, trebieee
 
kwa hyo ukigegedwa solution ishapatikana na hasira kwishney?hahahaa hahaaa haahaaa kidumu chama cha mgegedano halali!kidumuuuuuuu

kidumuu, kidumuuu, kidumuuuuuuu
 

inategemea na aina ya mwenza na wewe mwenyewe, mimi kwangu siwezi kususa kabisa ni mtu wa kucheka sana mimi na nikiuziwa na mme wangu huwa nasubiri hasira ziishe kwanza nipoe kabisaa then nampikia chakula akipendacho yaani wala hawezi jua baada ya hapo huwa anapenda chai namwekea chai ya iliki then naanza kumuuliza haya nieleze hivi ilikuwaje ukafanya hivi basi kama amekosea anaomba msamaha kama anajiona hana kosa tunabishana ila mi huwa sijali maana ujumbe umemfikia nalala kwa amani moyoni yaani mambo ya kuweka stress kwa maisha yangu sitaki kabisa ndio maana hata uso wangu uko na nuru ya furaha na huzeeki haraka.
 
Me huwanatishia kunywa sumu kwanza nikigalagala anakuja kunpliz hata kama kosa langu yanaisha nampa na gemu kiraha zetuuuu
 
 
Me huwanatishia kunywa sumu kwanza nikigalagala anakuja kunpliz hata kama kosa langu yanaisha nampa na gemu kiraha zetuuuu

Ha ha ha haya bana!sasa si ataichoka mwishowe tactic hio!
 

Kweli zamani nilikuwa nanuna ila siku hizi nimekua. nakaa nae chini naongea nae kiutuuzima nikiona haelewi anazidi kubisha nakaa kimya (ila si kwa kununa) hadi siku akiwa na furaha ilopitiliza ndo naichomekea. kama akiwa mbishi zaidi na zaidi hadi vikifika kooni huwa naachia ngazi. there is no way nitakuwa na mtu ambae sio muelewa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…