mimi mwenzenu naangalia na mood yake kama atanifokea siulizi lakini huwa nalia sana machozi yakiisha tu na mimi nakuwa nipo okey nakuwa nimemsamehe wala hata sijui kununa mtoto wawatu mie...... nakaa kimya sana though inaniumiza sana wakati wa kulia
kitu kimoja ambacho nimejifunza ni kwamba kwasababu wanawake tumepewa machoziya karibu,na tunatumia njia hio kama ya kupunguzia hasira wanaume wanafanya kama mazoea au kawaida yake kulia ,zile siku za mwanzo atakupa bega la kujiegemezea lakini kadri siku zinavyoenda ndo anakupuuzia na kitu hicho kinauma sana,ndo tunarudi kwenye yale masuala ya kutojali hisia za mwenzako!Kuna wakati nilikuwa nalia lakini nikajiuliza hivi kwa nini nilie....siku ya siku nikamwambia hili chozi ni la mwisho hutakaa uone chozi langu likitoka kwa ajili ya lolote usemalo au utendalo....na ikawa hivyo..
kitu kimoja ambacho nimejifunza ni kwamba kwasababu wanawake tumepewa machoziya karibu,na tunatumia njia hio kama ya kupunguzia hasira wanaume wanafanya kama mazoea au kawaida yake kulia ,zile siku za mwanzo atakupa bega la kujiegemezea lakini kadri siku zinavyoenda ndo anakupuuzia na kitu hicho kinauma sana,ndo tunarudi kwenye yale masuala ya kutojali hisia za mwenzako!
ni kawaida kwa toilet attendant kuingia vyoo vyote!nlikuja kufanya usafi....napita tuxiexie umeingia choo cha kike hivo .
mi akinikera namuandikia kama ni email au namtext, natoa kila kitu kilichopo kwa roho yangu,na hapo uchungu wote unaisha,
Ahsante kwa kufunguka rafiki ila ikaonekana tulio wengi tunanuna au kwa lunga nzuri kupunguza uchangamfu hii ntakchukulia ni kama ishara ya kuonesha umekerwa ili mtenda ajue kosa lake wakati mtendwa akitafakari alivyokerwa!kuna wale ambao wanasusa na kuweka mgomo,hakupikei,hakupakuliwi,sheria zotd zinavunjwa na amani inatowekea unakuta mtu kabinua mdomo tu na kuna uwezekano anajibu mbovu mbovu je hii ni njia sahihi ya kusuluhisha ugomvi?na kama mtu anajua anareact hivo akikerwa afanye nn?
Ushawahi kukutana na yule mwanaume ambae mkikerana ana kuingilia kinguvu kama njia ya kukupunguzia hasira yaani anajua huko kwenye mood unamwambia sitakii lkn hakuachi?
Kwa hyo ukigegedwa solution ishapatikana na hasira kwishney?hahahaa hahaaa haahaaa kidumu chama cha mgegedano halali!kidumuuuuuuu
And by the way, mgegedo wa aina hii ni mtamu kuliko maelezo. Sijui kwa nini.
Tena sa nyingine siongei, najilengesha lengesha tu
akikubali najua ugonvi kwisha
proud to be who I am....
Kuna wakati nilikuwa nalia lakini nikajiuliza hivi kwa nini nilie....siku ya siku nikamwambia hili chozi ni la mwisho hutakaa uone chozi langu likitoka kwa ajili ya lolote usemalo au utendalo....na ikawa hivyo..
mimi hata mdogo wangu akiniudhi huwa nalia so wapo makini sana nisiudhike ili nisilie.... sijui nitaacha lini kulia ila sipendi