Wadada 'smart' mna gharama sana

Anakudanga huyoo....so nenda nae kwa style hiyo km umemkubali kweli kubali kutobokaaa[emoji1787][emoji1787]
Ndio hivyo mkuu, unakula na kuondoka tu; hakuna kuweka makazi ya kudumu
 
Kweli mambo ya 'brand' ndio yanayotuumiza mkuu
 
Wewe kama bado unatafuta basi weka mambo ya wanawake pembeni au tafuta wanafunzi ndo huwa hawana gharama...chips yai tu ashasahau.
Hata kama mwanamke hakuombi hata Mia ila kama hutamjali kwa chochote basi heshima yako itapungua mnoo mbele yake.
Nakubaliana na hoja yako
 
Hao wa level za kwenda Dubai
 
Fanya kwa uwezo wako mkuu wakitaka zaidi Dubai kuna matajiri wana pesa za bure tena ni nyingi sana
Kuna picha niliona, huko huko dubai nadhani. Kama ni utafutaji basi nawapa pongezi, udhalilishwaji wa namna ile kwa binadamu anayejiewa ni msiba mkubwa sana.. sikutamani kuangalia mara ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…