wadada punguzeni VITAMBIII!!

wadada punguzeni VITAMBIII!!

ingekua bora km mngefanya ivo...
lakini ndo kwanza mnatinga vle vnguo vya watoto...
Hahaha! Sio vinguo vya watoto bana, sema havivaliwi na wenye vitambi ndio mana wakivaa utadhani kakwapua cha mdogo wake lol.
 
Hahaha! Sio vinguo vya watoto bana, sema havivaliwi na wenye vitambi ndio mana wakivaa utadhani kakwapua cha mdogo wake lol.

teheheeee...chit chat bana tam kwel cna haja y kwenda kwenye jukwaa la ucheshi...humu humu nacheka sana
 
teheheeee...chit chat bana tam kwel cna haja y kwenda kwenye jukwaa la ucheshi...humu humu nacheka sana
Na usicheke sana manake kicheko pia kinaongeza kitambi, mashati yatabana hayo! Shauri zako!
 
ni maisha yamechagua ivyo au ni uzembe wenu tu??
kwa nn mdada (wasichana) unakua na kitambi aise...
huna hata mtt wa dawa...tumbo kule...
mnakula nn??
au mani*?? zimewazidi?
sasa baba kitambii...mama kitambiii...watoto wa cku hizi nao mule mule...
tunashindana?
nyie ni warembo sana...
ila mkiachia tumbo mnaharibu kila kitu..
hujui mbele wap nyuma wapi...
wenye watoto nawasamehe...
psssiiiixxxxiii!!

Vyakula vyenye mafuta yanayoganda vimekuwa vingi sana siku hzi. Vitu vyenye sukari navyo vinazidi kuvutia.
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa, vyote hivi ni vyanzo vya kunenepeana bila mpangilio na magonjwa ya kisukari na moyo.
Jamani wake kwa waume tuzingatie milo sahihi na mazoezi ya kutosha (sio lazima kunyanyua vyuma), kwa afya zetu na muonekano wetu
 
Ee kweli,kazi ipo,kwani kwa mfano kama ninacho unanisaidia kubeba si changu mwenyewe wewe kinakuuma nini?we tafuta asie nacho kama hupendi lakini kila m2 kwa raha zake,mi nlijua umekuja na point za kinachosababisha kumbe una yako!niache kula kwa raha eti naogopa kitambi kha,halafu nyie mnalia kitambi kitambi wengne Mungu ana makusudi yake embu pata picha nina matiti makubwa halafu tumbo sina kabisa how do i look,proportion inahusu pia,

Lol! Mamzalendo natamani ningekuona Beach (just kiddin)
 
acha kuwaongopea wenzio kitambi kwa mwanamke hakipendezi hata kidogo!! ..... mwanamke anakakua kama ana mimba muda wote!!kha.
MP.

sasa ndugu kama kila ukinitoa unanilazimisha nipate kabia na nyama choma kuonyesha hujachoka ntaachaje kuwa na kitambi,nikisema twende tukale salad huelewi na nyie tusaidieni pia wakaka,sawa?
 
sasa ndugu kama kila ukinitoa unanilazimisha nipate kabia na nyama choma kuonyesha hujachoka ntaachaje kuwa na kitambi,nikisema twende tukale salad huelewi na nyie tusaidieni pia wakaka,sawa?

aise mama umefunguka vizuri...
nikakupenda gafula..
 
ah mie nazimia demu mwenye kitambi kikubwa teh teh teh :madgrin::becky:
 
Back
Top Bottom