acha kuwaongopea wenzio kitambi kwa mwanamke hakipendezi hata kidogo!! ..... mwanamke anakakua kama ana mimba muda wote!!kha.Ee kweli,kazi ipo,kwani kwa mfano kama ninacho unanisaidia kubeba si changu mwenyewe wewe kinakuuma nini?we tafuta asie nacho kama hupendi lakini kila m2 kwa raha zake,mi nlijua umekuja na point za kinachosababisha kumbe una yako!niache kula kwa raha eti naogopa kitambi kha,halafu nyie mnalia kitambi kitambi wengne Mungu ana makusudi yake embu pata picha nina matiti makubwa halafu tumbo sina kabisa how do i look,proportion inahusu pia,
umezidisha nyota moja...
itoe mm nikujazie hapo...
Hakuna mahali pameandikwa, ila it seems (uswahilini) kitambi ni ishara ya kufanikiwa. Msintoe macho, just talking using a keyboardHivi kuna mahali pamesemwa wanaume vitambi ndo dili???..
Hivi kuna mahali pamesemwa wanaume vitambi ndo dili??? Hamjui na sisi mnatuboa na mavitambi yenu alafu mnaona ya wanawake wakati wote ni kichefuchefu. Shepu la Obama bana
Na nyie mpunguze mavitambi. Mnatukere na mitumbo yenu ya minyoo..oops...!
vipi, ulifanikiwa kupunguza ule mtambi wako?
Hahaha! Shapeless lol..wanawake vinaboa zaid...
ww ni pambo la nyumba...
sasa pambo gani halina shape???
aaaaarrrrggghhh
Hata wanaume wenye vitambi wanakera, sijui huwa hawaendi chooni!
mtambi wangu wa mimba bwana.
Hata wanaume wenye vitambi wanakera, sijui huwa hawaendi chooni!
Tineti lol.wanaume wakiwa na vitambi watafunga mayenu inapotezea . Wanawake watavaa nini kupotezea ?