Wadada punguzeni njaa!

Hahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwao katoka hakuna kitu,kaenda kwa bebe kaona chochote kitu si anaona afueni abebe maana anajua akiomba hela akanunue anaweza asipewe jomoniii😂😂
 
Wanataka kumiliki wanawake bila kuwahudumia ....wanaacha kuoa wanajikabidhi halafu hawahudumii sasa sijui wanawaza nini......


Wenzao zamani ukiona mwanamke unatuma mshenga anaenda kutoa posa unaoa unatulia zako home kimya hakuna sijui kala sukari yangu Mara chunvi hakuna ...

Sikuhizi hawafati taratibu wanajibebea wenyewe kiholela wanakuja kulia lia huku ......





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ni starehe na starehe ni gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…