interesting....
hili la kusema 'mtu fulani ana maringo'
au hasalimii anajisikia ..most of time tuko very wrong
baadhi ya watu kutokana tu na malezi hawajui tu namna ya kuishi na watu
wengine wametoka kwenye very different background....
unaweza tafsiri ni maringo au kujisikia kumbe tu mtu anaogopa watu
au hana tu 'social skills' zinazohitajika hapo
au mwingine ni mwili tu but bado mtoto mno kuelewa how to deal na watu tofauti..
wengine wana stress tu za kufa mtu hata akikusalimia why hasalimii watu utamuonea huruma