"Wadada Poa Kenya waboresha kidogo"...

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya Ukimwi maarfu PEPS ambazo ni maalumu kwa wahanga wa matukio ya ubakaji ambapo mhanga hupewa kabla ya masaa 24 ya tukio ili kuepusha hatari ya kupata maabukizi hayo

Akiongea mmoja wa dada poa hao kutoka Mombasa kwa sharti la kutotajwa jina alisema..Nanukuu "Sis hupenda kufanya bila mpira yani(CONDOM) kwaajili ya kuvutia wateja na kuhakikisha soko linakua kwa minajili ya kuengeza kipato"..Mwisho wa nukuu

Hata hivyo walipoulizwa dawa hizo huwa wanazipatia wapi hawakua tayari kusema, ila utafiti ulionesha huwa wanazipata kutoka kwa wafanyakazi mbali mbali wa taasisi za kiafya nchini humo kwa njia ya rushwa..

Na walipouliza kuhusu wateja huwa hawana hofuu juu ya Afya zao?? walisema "Wateja wengi hupendelea kufanya bila mpira, tena hasa wale wa kigeni na hutoa dau kubwa"..
 

Attachments

  • changudoa.jpg
    35.2 KB · Views: 298
Sawa mkuu taarifa nzuri!Tanzania watuletee nayo kwa wanaopenda kubaka
 
Mekuja mbio nikajua wamegundua nakshi nakshi mpyaa au wamepaka rangi ya silver zinawaka kumbeee!!
si kuna zile..........ambazo uswazi tutumia kama PEPS
 
kova keshasema ni swala binafsi.Unahoji mamlaka?sisi ndo wenye nchi na watoto wangu wanauza unga,hawawezi kukamatwa coz,ni swala binafsi.TAKE CARE.

Watoto wako wanauza unga wa sembe au wa muhogo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…