World is not fair.
Sometimes naonaga bora tu ule neema kuliko kusubiri yasiyokuja
Unakuta dada amevaa kimini kimembana anakunywa Safari lager alafu anasema siku hizi hakuna wanaume watulivu, mwanaume mtulivu akifuate wewe? unataka kumharibia utulivu wake?
Ohooooo!!!ndomana ndoa zao huwa hazidumu.Kwa wanaume wa Dar hivyo ulivyoandika vyote ni vigezo vya 'wife material'
dah umenichekesha aisee
huyo atakua anajitengenezea virus wa presha kisukar mwilin mwake
Sahihi kabisa.Wa dar wengi wanataka wa namna hiyo mwisho wa siku wanashindwana mapemaa
Mabwana sio tatizo....maan mabwan si wanapenda kupita tu wakiwachkulia ni cheap tuKwa taarifa zako viruka njia ndio hawakosagi mabwana the same applied to men . World is not fair.
Pole vero....mnanyambwa saana eeehWanawakwe tumekaliwa kooni jaman, kuoa hamuoi kazi kutunyamba kila siku
Endelea kuwa danganya wenzako akati wee umetulia tulii hizo sifa huna...... wenyenazo watasubiri sanaaaa.....................na rungu tunaosha kama kawa afu ntu njima nazama nanjilinjili kuchukua nchumba............Daah! Yaani umeongea kweli tupu
Kwa wanaume wa Dar hivyo ulivyoandika vyote ni vigezo vya 'wife material'
Tuoe wavaa vibata,wapiga urabu, vegi n.k?????, watasubiri sana gari angani................Wanawakwe tumekaliwa kooni jaman, kuoa hamuoi kazi kutunyamba kila siku