Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Hello!
Naomba kujua, hata wanaume wenzangu mnaweza kunisaidia. Kijana unampigia simu binti (aweza kuwa mpenzi ama rafiki yako), anachelewa kuipokea simu, unapiga mara ya mwisho baadae, anaipokea, na kukuambia pole alikuwa akifanya mazoezi, unamuuliza mazoezi gani, anakwambia alikuwa akicheza Rede na wadada rika lake na wengine wake za watu, na binti huyo yupo zaidi ya 23 miaka. Nauliza, mazoezi kwa wadada ama mchezo wa Rede, una umri wake mwisho wa kuchezwa ama ni kama mazoezi tu ya kawaida kwa wadada na hauna umri? Nitashukuru nikijulishwa.
Ahsante!