Wadada nisaidieni hili

Tumia mafuta ya Nazi hutajuta na utaipenda ngozi yako. Ukiweza tengeneza mwenyewe haya ya madukani wanachakachua sana
 
Karibu tuwasiliane, kampuni ya Oriflame ina mafuta aina mbalimbali ambayo niya mtu mwenye ngozi ya kawaida, yenye mafuta, yenye mchanganyiko wa mafuta na kavu.
Bidhaa zake zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia, hivyo usijali utatunza nyema ngizi yako bila kuichubua.
Naamini tukiwasiliana kwa simu namba 0672416294 utapata suluhisho. Karibu sana na pole kwa tatizo hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom