Wanawake wengi siku izi ni mwendo wa weaving bandika bandua...ata nywele original hatujui zinafananaje...give your hairs a break kidogo khaa
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.
Hahaha..sura inachuja ka uji wa juzi....
Hahaaaaaaa.... fagio la bui bui nimechekaje
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.
Kichwa kinakona ishirini kama changu ataacha kuvaa!!?Nyie ndo mnatupa kaz....mtukubali jinsi tulivyo tukiwa natural
Kama hii tu