HEBU NITAJIE MMOJA MWENYE TABIA HIYO [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?
Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana mahusiano mnakuwa wakali na kuwaringia kwa maneno ya shombo. Ila mwishowe mnaanguka kwa waume za watu au players ile hali mnafahamu kabisa what is going on baadaye mnakuja kulizwa tu!
Amkeni nyie mtaishia kulia lia
ningeshangaa nisingekukuta humu
ha ha ha kwan mke wa mtu haombi vocha? tena nyie ndio mna pni haswaaaacha mm mke wa mtu nijisomee comments [emoji28][emoji28]hivi tumewakosea nn kila siku humu mada ni kuponda wanawake tu
mm sina swaga hizo nimetulia tuha ha ha kwan mke wa mtu haombi vocha? tena nyie ndio mna pni haswaaa
ha ha ha ha kwan wewe huku umefata nin? vp na wewe una swaga hzo za huyo dada au ndio waleeeeeee
Kweli kabisa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]mwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Shunie siyo mwanamke wa hivyo, hajawai kuniomba chochote, na usidhani kuwa ni mwanamke raisi kama unavyochat naye hapa.ha ha ha ha ngoja ndugu yangu fakalava atathibtsha hilo kama ni kwel
[emoji28][emoji28][emoji28]aje tu ataongea ukweli kama kunitumia ananitumia tu bila kumuomba
na kama mtu huamin miujiza bas tena sio kwa namna hyoShunie siyo mwanamke wa hivyo, hajawai kuniomba chochote, na usidhani kuwa ni mwanamke raisi kama unavyochat naye hapa.
Nakupenda shunie[emoji255] [emoji255] [emoji179] [emoji179] .
ha ha ha ha nmeshindwa mie aisee.[emoji28][emoji28][emoji28]aje tu ataongea ukweli kama kunitumia ananitumia tu bila kumuomba
Fafanua Mkuu.na kama mtu huamin miujiza bas tena sio kwa namna hyo
nakupenda pia [emoji8]Shunie siyo mwanamke wa hivyo, hajawai kuniomba chochote, na usidhani kuwa ni mwanamke raisi kama unavyochat naye hapa.
Nakupenda shunie[emoji255] [emoji255] [emoji179] [emoji179] .
una maneno wwna kama mtu huamin miujiza bas tena sio kwa namna hyo
umenishindaaaha ha ha ha nmeshindwa mie aisee.
[emoji151] [emoji151] [emoji164] [emoji164] [emoji167] [emoji167] [emoji160] [emoji160]nakupenda pia [emoji8]
ha ha ha ha kwa lipi........umenishindaaa
twaweza fcUtafiti wa wapi huu?
hujashindwa, but huo ndiyo ukweli.yaan mahaba yako ni zaid ya miujiza nmeshindwa mim aisee
ha ha ha ha kwa lipi........
acha nipunguze kidogo tu tutampoteza fakalavayaan mahaba yako ni zaid ya miujiza nmeshindwa mim aisee
ha ha ha ha kwa lipi........