Utafiti wa wapi huu?
TwawezaUtafiti wa wapi huu?
Kuna aliyesema ni wa TWASHINDWATwaweza
hakuna sehemu yeyote nniliyosema nimefanya utafiti we kichwa panziUnajua siku hizi kila kinachomjia mtu kichwani na kukiandikia thread anasema eti ni utafiti.
Kuna aliyesema ni wa TWASHINDWA
Sorryhakuna popote niliposema nimefanya utafiti wewe kichwa panzi
hakuna popote niliposema nimefanya utafiti wewe kichwa panzi
hehehehehe sorry nnSorry
mkuu sio kila kitu unachokisema nimesema wamefanya research, huu ni mtizamo wangu binafsiMpaka miaka minne iliyobaki iishe tutakuwa tumeona mengi.
mkuu sio kila kitu unachokisema nimesema wamefanya research, huu ni mtizamo wangu binafsi
Shida siku hizi wavulana mumekuwa wengi Sana, bora tubanane huko kwa Wanaume hata Kama wanamilikiwa.
Chochotehehehehehe sorry nn
Duh! Kwahiyo bila offer hupati kitu?kwa sababu vijana hamjui nafasi zenu kama wanaume.mara ya mwisho ni lini ulimpa mwanamke offer ya kitu chochote?
ha ha ha unapenda mambo ya viwembeTafuta mume wako, acha kusifia waume za watu. Wa kwako pia anaweza kuwa wa mwenzako na akajiongeza
Siku ukifumaniwa na mume wa mtu utatamani ardhi ipasuke, endelea na hio tabia huku kwetu adhabu ndogo wanakuchana viwembe vya uso kukuweka alama.
ha ha haUkiona mme wa mtu anajiongeza sana kwako jua kule kwa mke wake na watoto ni haachi kitu.
1+1=2 na sio 11
ningeshangaa nisingekukuta humuha ha ha ha et wanasema experience matters