mstaafu001
Member
- Dec 8, 2015
- 87
- 40
Offer? Sio kwa uvhumi huu. [HASHTAG]#mwanaumekanzu[/HASHTAG]kwa sababu vijana hamjui nafasi zenu kama wanaume.mara ya mwisho ni lini ulimpa mwanamke offer ya kitu chochote?
Kuna kaukweli kidogoAiseee..... kuna ukweli hapa ee!!
Siku ukifumaniwa na mume wa mtu utatamani ardhi ipasuke, endelea na hio tabia huku kwetu adhabu ndogo wanakuchana viwembe vya uso kukuweka alama.Waume za watu wanajua kuhonga bana
Tafuta mume wako, acha kusifia waume za watu. Wa kwako pia anaweza kuwa wa mwenzako na akajiongezamwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
mungu shahidi sijawai kuwa na mahusiano na mume wa mtu mkuuTafuta mume wako, acha kusifia waume za watu. Wa kwako pia anaweza kuwa wa mwenzako na akajiongeza
Vizuri sana mkuu. Huo ni mfano bora wa kuigwa na ni dalili ya mwanamke anaejiamini.mungu shahidi sijawai kuwa na mahusiano na mume wa mtu mkuu
Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?
Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana mahusiano mnakuwa wakali na kuwaringia kwa maneno ya shombo. Ila mwishowe mnaanguka kwa waume za watu au players ile hali mnafahamu kabisa what is going on baadaye mnakuja kulizwa tu!
Amkeni nyie mtaishia kulia lia
Nimejisemea tu mwenzio mie mume wa mtu nimpeleke wapiSiku ukifumaniwa na mume wa mtu utatamani ardhi ipasuke, endelea na hio tabia huku kwetu adhabu ndogo wanakuchana viwembe vya uso kukuweka alama.
Vizuri sana mkuu, huo ni mfano bora wa kuigwa. Hiyo ni sifa ya uungwanaNimejisemea tu mwenzio mie mume wa mtu nimpeleke wapi
Ila kuna wanaume wa watu wagumu ka nyama ya mshipamwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Kweli ni TWASHINDWA aseeTWASHINDWA
Ukiona mme wa mtu anajiongeza sana kwako jua kule kwa mke wake na watoto ni haachi kitu.Ila wanaume za watu wanajiongeza, sasa hivi vi bf vinaishia show off na ni umiza kichwa kabisa
Wa hapa na pale.Utafiti wa wapi huu?
Halafu walalamishi kweli yani.kwa sababu vijana hamjui nafasi zenu kama wanaume.mara ya mwisho ni lini ulimpa mwanamke offer ya kitu chochote?
[emoji3] [emoji3]Wa hapa na pale.