aisee sjui niutafute wapi nikupe link watu walikuwa wanamwagika balaaaWe mke Wa mganga kapange vibuyuu![]()
joke!
Huo uzi siujui
Hahaha yan we achaIla pua ni tatizo hahaah
Si ulinitisha! Na leo ukanichamba katika uzi wa Money Penny nimeamua kujifichaUlipotelea wapi?
Na shepu km kibanda cha mpesaBichwa ka magu!
Huyo ni sawa na kibogoyo anavyojaribu kutafuna NyamaJomoooni muhurumie basiiiiii
Tumeni hizo picha mshaanza kuhamisha uzi.Sijaona shida ya picha ile
ila huyo bi tukinao ana mashavu km paka wa ikulu

itakuwa accounti yake imedukuliwa kama ilivyodukuliwa accounti ya Mshana jr!Umevuta bangi ya wapi leooo



Vipi huko pm kuna wazuri wazuriKwani Wa mtaani unamjua basi
itakuwa accounti yake imedukuliwa kama ilivyodukuliwa accounti ya Mshana jr!![]()


Jr yupo kwenye msimu wa mahaba jaman muacheni adendekeeeNa wewe umefanana na Babu yako kama mie?Hunishindi mimi![]()
bamkubwa kaniharibu sana
Pangetokea kisima.Yaani ktk avatar ungekuwa wewe pangechimbika hapa