Leo asubuhi kwenye kituo flan cha radio kulikuwa na mjadala kuwa,wanaumd wa kibongo ni unromamtic,sijui hili lina ukweli gani hili wadada naombeni ukweli!!
Sasa shangazi Lizzy mimi ni mmoja kama nikiwa ni romantic au unromantic bado sitapata jibu,halafu mimi siwezi kujisemea anaejua ukweli ni mwanamke ningekuwa na mke ningemuuliza,lakini naamini wadada ndo mna majibu mazuri zaidi!