Wadada naombeni jibu!!!!

Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli!
Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi!
 
Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima!
Aaaah,shangazi sory lakini usimwambie anko!Atanipiga marufuku kuja kula mchana hapo home na ninakujua kwa utaalam wa kupika!
 
Back
Top Bottom