Wadada naombeni jibu

Ahmed haji

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
65
Reaction score
63
hivi inapotokea mvulana amekutongoza ukamtolea nje muda ukaenda kidogo ukaja kugundua yule mvulana hakua na nia mbaya wala matatizo ukapendezwa nae lkn wakati huo yy anakupotezea mnajiskiaje?
 
hivi inapotokea mvulana amekutongoza ukamtolea nje muda ukaenda kidogo ukaja kugundua yule mvulana hakua na nia mbaya wala matatizo ukapendezwa nae lkn wakati huo yy anakupotezea mnajiskiaje?
Kwanini utongoze wakati bado uu mvulana?
 
Kila jambo na wakati wake ukishaelewa hivyo wala haitakuumiza. Kwa sbb haukua wakati wako sahihi ndo maana ulimwacha aende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…