Wadada na yaliyoko chini ya kapeti

Ungepiga mtandao pendwa
 
hilo ni kweli hata mimi nilimpata demu mmoja ni mkali kweli anatokea Arusha ni mchanganyiko, ana sura murua sana aisee na kiuno kimekaa ka nyigu basi bwana nilienda nae gemu kusema ukweli mchezo unaujua sana anazungusha kiuno balaaa na mashine yake ipo poa sana kasoro yake tu harufu mbaya mdomoni, umeona hilo mshikaji wangu hayo ndo mambo ya watoto wazuri
 
Hilo mbna tatzo dogo na linatibika na yawezeka hajijui kama mnuka kikwapa
 
Hivyo ndivyo vigezo vya uzuri? Dhana ya uzuri ni telezi (subjectivity).
Hivi mtu akiolewa ndiye mzuri eeh. Basi mi nimzuri [emoji4] .
 
umejaribu kumnunulia mswaki au dawa ya meno
 
ha ha me nilijua wangu tu !! na akil zote za darasan gpa nzur tu anapataga lakin ucku akikutangulia kulala utacheka na kuhuzunika
Hahhha.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapa umenikumbusha kitu aisee
 
Yaonyesha yamekukuta! Tafadhali tuambie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…