Wanafanya collection, wengine manunuzi ndiyo yanakuwa mazuri kuliko matumiziya handbag.
Mimi Bi Zuhra mara nyingine tunaenda sehemu anakuwa hana hata makubwa mtoto wa watu, mimi ndiye naanza kiherehere, "umeliona hili la Italian leather la dessigner nani sijui? hili si common".
Akipenda anachukua.
Juzi nimemuonesha Michael Kors namuangaliakama atapenda nimchukulie,kakataa kwa sababu hayana nini nini sijui (she is so picky).
Nikasema poa.
Kwa hiyo wengine tunawanunulia sisi na kuwasakizia kwa kufurahia, lakini si wote.