Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,248
- 144,302
Asee hiyo kitu ni mbaya sana nakumbuka kuna siku tulikuwa tunafanya usahili sehemu fulani huwezi amini jamaa kakosa kazi ya maisha serikalini kwa kukutwa kachora zile katuni za kapa mkononi!! Jamaa alitamani ardhi ipasuke!!
Mkuu Trust me, ile inayochora ni sindano na huwa inatoa maumivu kwa anayechorwa, hivyo sahau kuhusu kupata msisimko labda abakwehivi huwa najiuliza unakuta mtu amechorwa tattoo kwenye paja au sehemu nyeti....huyo aliyemchora huwa ni jinsia yake au tofauti na kama ni tofauti huwa wanamaliza salama kweli bila kudo...?