miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
hahahahahahaha bora mimi ni english figa na nimeridhika na ukimbaumbau wangu
Hiyo inaitwa "Kejeli" miss...mleta mada kaileta kwa mtindo wa kejeli.
chukua hiyo
Mi sijakuanza, ila naendelea tulipoishia... Kuna watu ananilazimisha nitafute bastolaNgalikihinja umenianza tena..
na ulivyo skeleton ndo balaa tafuta ila chukua nyepesi nzito itakuuaMi sijakuanza, ila naendelea tulipoishia... Kuna watu ananilazimisha nitafute bastola
CC
Heaven on Earth
grafani11
Chezeya Reli weye...??? .... Treni na mizigo yote ya shaba, kopa na ngano za AZAM zinabebwana ulivyo skeleton ndo balaa tafuta ila chukua nyepesi nzito itakuua
si lazima..
mfuko wako tu...
wa mambo safi yao haya...
waliochacha...
Ndo kwanza nasikia hapa kumbe zipo!