Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,708
- 35,557
hahahaha daaah
Neybright[emoji7] nipo tayar kuwa zuzu kwa ajiri yakoMwenye genge nae alikuwa zuzu tuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Neybright[emoji7] nipo tayar kuwa zuzu kwa ajiri yako
[emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya banah
yan umemalza genge lang leo unaniita zuzu asantMwenye genge nae alikuwa zuzu tuu
Nataka nikuweke kikaangoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya banah
Ahahahaa pole sana best itabidi nikupe mtaji urudishe genge lako liwe kama zamani ila uwe makini na biashara yakoyan umemalza genge lang leo unaniita zuzu asant
Daah mie sipo vizuri kwenye kujibu maswali mkuuNataka nikuweke kikaangoni
Wadada walimpora siyo?.kama panya road hivi.au alifanya bata trade badala ya kupokea fedha alipokea vingine.Wauza genge acheni ujinga.mbona mangi haibiwagi hivyoKuna mdau alikuwa na genge lake hilo limesheeni vitu vingi sana mpaka ukipita karibu una hamasika kununua.
eeh wadada bhana si wakaliona
eeh hilo genge halitamaniki vitu vyote kafilisiwa na wadada wote wamemkimbia.
Kuweni makini sana na ivi viumbe.
sawa bestAhahahaa pole sana best itabidi nikupe mtaji urudishe genge lako liwe kama zamani ila uwe makini na biashara yako