ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 8
Kaka Stephano mimi ndo mdada niliyetulia kama maji mtungini we sema tu nikusaidieje??
Wanajamii nimezungukaaaaa na kutumika sanaaaaa sasa naamua kutulia. tatizo langu ni wadada waliotulia wanapatikana wapi?
Kaka Stephano mimi ndo mdada niliyetulia kama maji mtungini we sema tu nikusaidieje??
nimeitembelea blog hiyo nimekutana na warembo wazuri.........nimetupa karata yangu kwa mmoja....but nina wasi wasi isije kuwa ni madume yameweka picha za majike.......Wabongo siku hizi balaa. Leo nilikuwa nazungukazunguka kwenye Cyberspace nikakutana na blog moja ambayo bado ni mpya na changa. Blog hii inaonekana ni sehemu ya kuwakutanisha watu particularly wabongo wanaotafuta marafiki au wachumba. Blog hii inajulikana kama wabongomeet. Unaweza kuiona kwa click hapa Rafiki/ Wachumba.
AmbianceWanajamii nimezungukaaaaa na kutumika sanaaaaa sasa naamua kutulia. tatizo langu ni wadada waliotulia wanapatikana wapi?
Walishakufa wote tangu miaka ya 1994Wanajamii nimezungukaaaaa na kutumika sanaaaaa sasa naamua kutulia. tatizo langu ni wadada waliotulia wanapatikana wapi?