Wadada mnisamehe kidogo!

Asante kwa neno mkuu
 
Aiseee anakuchit na unajua
Kabsa na Bado unamsamehe
Na c mara moja aiseee

Kweli moyo ukipenda co
Mchezo

Ama kweli kipendacho roho
Hula nyama mbich
 
Uko sawa, na sisi wanaume saa ingine tunayasababisha haya.
Ndio mkipendwa hamtaki halafu wadada wengi wanachuna mahali wanawaletea nyie ambao hamna .
Halafu nyie mnawapa vimeo ambao hamna mpango nao kero tu ambao mkiishiwa wanawaacha mmtuchosha.
 
Hapo ndipo shida inapoanzi mnapata shida weeee siku kazipata nyingi anakutafutia mchepuko eti pesa yote hii mke 1 haa, kasahau wakati kapuku hakuna aliye mpenda, yeye anitafutie tu nitumie siumizi kichwa, mie katokea atokako eti nakupenda siku 1 eti hama kwenu nenda kapange halafu tutakuja kuishi wote nilicheka kweli
 
Si mara ya kwanza nauona huu uzi. Nadhani niliuona last year, but ni ujumbe mzuri sana worth reading and remembered not only by girls.
 
Very true.

We are women bana.

We give birth to fellow human beings. Thats just how powerful we are.

If we give life, then we can make or break a man.

Let us choose to make than break.
 
Tumekusikia na kukuelewa vizuri kabisa
 
ana kucheat then mpka sasa bado upo nae mkuu ..huko anapokwendaga sidhani kama huwa anakumbuka kuweka msimamo wakuingiliwa na condom..kuwa makini atakuja kukuuwa huyo ..shauri yko
 
mkuu ni mara nyingi tu ila kwa kushuhudia mwenyewe ni mara tatu
hiii jamaaa una roho ngumu ..yaani umegongewa mpka unashuhudia mwenyew na bado unasamehe tena Mara 3 ...huyo mwanamke amekulisha Nyama ya kalio au ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…