Wadada mnavamia fashion na mnabore!

Wadada mnavamia fashion na mnabore!

KakaKiiza nadhani unawasema wale wadada fulani, lakini mdada na heshima zake ahawezi kuvaa vaa tu ili mradi tu kavaa,mdada anaejitambua hawezi kuvaa hivyo viatu unavyosema ofisi au skin jeans ofisi, wadada tunaojitambua tunaangalia nguo ipi ya ofisi, viatu gani vya ofisini, nguo gani ya kuendea club n.k
Hapana wapowadada mchana kweupe na skin jeans mhm!
 
Hapo kwenye pochi bora apaache kama palivyo maana maelezo yake ni marefu sana.
Maana pochi nyingine anabeba desktop hivihivi!!mnabaki kujiuliza mbona hatujaona mtu kabeba mfuko au kiroba kumbe pochi!
 
Maana pochi nyingine anabeba desktop hivihivi!!mnabaki kujiuliza mbona hatujaona mtu kabeba mfuko au kiroba kumbe pochi!

Duh! Kweli mapochi yamekukera! Ha ha ha haaa!
 
Hapo kwenye pochi bora apaache kama palivyo maana maelezo yake ni marefu sana.

Umeona ee, wamama mambo yetu mengi jamani na tunayasitiri kwwnye mikoba lol....

Maelezo yake ni marefu kweli......asitake tukaanza kuyaelezea......tutajaza server
 
Katika mavazi nakusapoti hasa kwa wanaovaa mavazi ya usiku wakati wa mchana.

Ila kwenye mikoba na pochi utakuwa umetushika pabaya aiseeee.......

Wapi Madame B, Paloma, ram, snowhite, King'asti, marejesho, Zion Daughter, mwaJ, Passion Lady, ladyfurahia na wadada wooote... kuna mtu anatuchokonoa asubuhi asubuhi.....


heheheeeeee!!my sis huyu
KakaKiiza kweli anatuomba maneno
mimi kubeba pochi kama kapu siachi!!
nikijaza vipodozi huko,pichu ya akiba,kanga,dipe
nguo za kubadili,viatu maana mjini dharura nyingi!!
mwache atuseme tu ila huo ndio mpango mzima lolz!!
 
Last edited by a moderator:
hivi ulikuwa hujui best kuwa KakaKiiza alivyokuwa na matatizo wewe unadhani mtu na akili zake anaweza andika/post utumbo wa kuku kwenye jukwaa hili nyeti, inabidi nimpe dozi ya malaria inawezekana sassa malaria imepanda au nimpe mwongozo wa ushauri nasaha nadhani hakwenda kushauriwa mwite pande hizi
Katika mavazi nakusapoti hasa kwa wanaovaa mavazi ya usiku wakati wa mchana.

Ila kwenye mikoba na pochi utakuwa umetushika pabaya aiseeee.......

Wapi Madame B, Paloma, ram, snowhite, King'asti, marejesho, Zion Daughter, mwaJ, Passion Lady, ladyfurahia na wadada wooote... kuna mtu anatuchokonoa asubuhi asubuhi.....
 
Last edited by a moderator:
Umeona ee, wamama mambo yetu mengi jamani na tunayasitiri kwwnye mikoba lol....

Maelezo yake ni marefu kweli......asitake tukaanza kuyaelezea......tutajaza server

Madai yake pochi nyingine kubwa mpaka mtu anaweza kubeba desktop na wenzie wasijue. Sijui zinamkera nini wakati yeye sio mbebaji. Lol!
 
Hahaaaaa.... hajui kuwa huwa kunakuwa na dharura ya kusafiri bila kupanga lol............... :lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Mie hapo kwenye vipochi! sasa kubeba wabebe wao kuchoka uchoke wewe lol unalako jambo tu c bure
 
Back
Top Bottom