KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Akina dada napenda mniwie radhi ila hii tabia yenu ya kuvamia fashion inanikera binafsi mimi nitataja baadhi yavitu ambavyo mmekuwa mnashobokea bila yakujigundua kuwa mnadharilishwa bila ya kujigundua!
* Haiwezekani unaletewa mkoba kama tenga mkubwaa na wewe bila kujijua unaenda kuununua hiyo ni akili isiyojinyumbulisha!
* Unanua kapochi kadogo hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kubeba eti fashioni unasema kipima joto!
* Sasa imekuja fashion inanikera mtu kavaa viatu hata kutembea ina mlazimu atembee kama punda hawezi kukunja goti!
* Sasa mbaya zaidi wameleta nguo zinaitwa skin jeans jamani kufuru mtu ajijui anavaa ajijui maumbile yake yakoje!anaitinga mungu wangu itakubidi uangalie pembeni!
* Sasa wamekuja na style eti hawataki chupi! Mwee!